12 June 2010

BADO NAWAKUMBUKA


Kwa heshima na taadhima napenda kuwashukuru hawa dada zetu ambao wamekuwa mstari wa mbele kuwakilisha wakina dada wenzao ktk fani ya muziki pale kwetu Tanzania, nitawakumbusha "kiasi" kama asemavyo msanii toka kenya(Juakali). toka kushoto ni Besta,Ray C, Lady Jaydee na Klyn..well done dadaz.Ningependa kusikia na kuwakilisha mtazamo wao juu ya swala la love aka mapenzi na kazi yao..je kuna matata yoyote yanayotokea na kuleta hitilafu baina ya usanii na mapezi yao??? kama unamtazamo juu ya swala hili basi ndugu yangu uko huru kublogua hapa. asante sana wana wane

No comments: