Bado tunafuata mila na desturi zetu za kiafrica na hasa kikabila. Je unakubaliana na hii hapo chini.angalia video vizuri kama hauelewi basi mimi naielewa lugha hii ,ni ya kule kwetu MARA ambako mmja wa wazazi wangu alikotokea.Haya yote nimeyashuhudia kwa macho yangu toka nikiwa mtoto lakini kwa sasa nayaona kama yamepitwa na wakati.Sijui labda mimi ndiye nimepitwa nawakati angalia kisha tuambizane.pamoja sana wana wane
No comments:
Post a Comment