15 June 2010

MAPENZI NA KOMBE LA DUNIA

Toka kombe la dunia lianze wanawake wa sehemu mbalimbali wamekuwa na kawivu ka kutoswa na wanaumme wao na kulala mika lalamika., dakika 90tu za kutopewa attention mnalalamika wana wane????? aaaah ingekuwa kila siku je?.Na Mkandamo huu utaendelea kwa muda wa kama kamwezi hivi kwa hiyo mjipe ka holiday kidogo na ukiisha basi mlipize kwa staili yenu ileee ya oooh leo sijisikii vizuri oooooh leo naumwa naninhiiii hahahaha MAPENZI ni kuvumiliana wana waneeeeee. never mind angalia haka kapande toka kwa dada wane Nicola T ujue jinsi gani wanawake hawa wanavyo deka na kulalama...mitaa ya hapa England.

No comments: