6 July 2010

MAZINGIRA UK

Mazingira haya ya haka kamto yalinivutia sana katika pita pita zangu.Wenzentu wako mbele sana kuboresha na kuyatunza.Huu mto unapita karibu na Power station maeneo ya oxfordshire.Mwana wane summer hasa wakati wa weakend hapa shikiki ni ubize kwa sana ..ningependa kujua uboreshaje wa vianzo vya maji pale home unaendeshwaje???

No comments: