Wasanii mbalimbali walitoa burudani na makamuzi ya nguvu. Mgeni rasmi alikuwa ni Lady Ny anatamba na kibao chake kinachoitwa Homa ya bahari ( sea sick) Bonyeza hapo chini kuangalia video yake
Picha kwa hisani ya Urban pulse.
![]() |
Fyas sis akitoa fire |
![]() |
Ordaine akirusha nyuki |
Safia from M2S akiwakilisha |
![]() |
Luigi na Black heartz Wakikamua |
![]() |
Muda wa kupokea zawadi |
![]() |
Watu waliokuja kutoa support |
![]() |
lady NY |
![]() |
Nyuki, Lady Ny na Might B baada ya kazi |
No comments:
Post a Comment