5 August 2010

DADA NAOMI CAMPBELL MAHAKAMANI KWA BLOOD DIAMOND

NAOMI CAMPBELL
Duh sister wetu NAOMI CAMPBELL leo ana hojiwa na mahakama katika kutoa ushadi juu ya Msela wetu wa kitaa Bw.Chalesi wa Tylor(Rais wa zamani wa Liberia) anaye tuhumiwa kusaidia Uharmia na mauaji.Inasemekana kwamba dada Naomi alipewa na Bw Chale Almasi Ya damu(Blood Diamond) yaani iliyo patikana kwa umwagaji damu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilikuwa kati ya Serikali ya Sierra Lione(Mount of Lion)na waasi  wa RUF ambao walikuwa wakifadhiliwa na Bw.Chale.Bw Chale ambaye alikuwa akifanya biashara ya kuuza Almasi hizo na kutumia fedha kununua silaha kwa ajili ya waasi hao.Sasa Dada Naomi Sijui ata sema ukweli?? Je ingekuwa ni wewe ungesema kweli haahaa,Kwanza kwa jinsi Naomi anavyo penda kujiachia lazima atakuwa kesha iuza na kuspendi mahela yake kule kwenye jumba lake la kifahari lilipo mitaa fulani ya jamaica alikozaliwa mzee wa Reggae na Ganja(Robert Nesta Marley aka Bob Marley.

ANGALIA HII VIDEO ILI UPATE PICHA JINSI ILIVYO KUWA KULE SIERRA LEONE

NA KWA WAPENDA MOVIES BASI UNAWEZA KUANGALIA "BLOOD DIAMOND"
PATA TRAILER YAKE HAPA CHINI:#]

POLE KWA WOTE WALIOATHIRIKA NA UJUMBE HUU,NI HALI HALISI NA HUWEZI JUA HATA WEWE YANAWEZA KUKUTA MAANA LAANA YA TAMAA HAINA MAKAO

NAOMI CAMPBELL ATOBOA SIRI YA DIAMOND BAADA YA MAHAKAMANI
Angalia Video hapo chini upate taarifa zaidi;

No comments: