1 August 2010

MKEREKETWA WA ASENALI AAMUA KUFANYA KWELIIIIII

KWELI KUNA WATU WANAJUA KUPENDA KITU. HAPA NAWALETEA KAMANDA HUYU ANAYE JULIKANA KWA JINA LA MKAZUZU YEYE NA ASENALI NI DAMU NA MOYOOO YANI NOMAAAAA WE CHECK MWENYEWE.....
yaaani kifupi ni kama unavyoona wajanja watastukia...kwa wenzangu na mie tena basi hapa kuna mwana na ticket yake ya kwenda kuwaona wana........vs ACMILAN,CELTIC hahahaha no comments kamua mkazuzu mwana wane

No comments: