18 October 2010

URBAN PELSE TOUR SHOW PROMO

HUNGAZ TUNA COPY NA KU PASTE hahahaha!!! SHARE TAARIFA NA WATU NDIO MAANA YA UHURU WA HABARI HAYA SASA WAUKWELI WANGU UHONDO NDIO HUUU HAPO CHINI NI FREEE KUANGALIA KISHA JIACHIE ...HOLAAAAA


6th NOVEMBA

CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP

12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR

27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT

Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binaadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja kuparty kwa Swaga za Kibongo na UK, badhi ya mapato yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria
WOTE MAKARIBISHWA

 
Frank Eyembe
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA

1 comment:

Anonymous said...

URBAN PULSE PLEASE