I Am 50, Please Celebrate Me
My youth have no past, present nor future.
So my sons in the North have become street urchins and his brothers in the South have become kidnappers.
My nephews die of thirst in the Sahara and his cousins drown in the Mediterranean.
My daughters walk the streets of Lagos, Abuja, and Port Harcourt, while her sisters parade the streets of Rome and Amsterdam.
I am grief-stricken, please celebrate me.
TAARIFA YA ASUBUHI
Moja ya picha inayo onyesha mlipuko huo jana nchini Nigeria |
Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Nigeria hayakuwa ya amani baada ya milipuko miwili ya mabomu kutokea mjini Abuja Mar na kuua watu 8.Milipuko hiyo ambayo ilitokea wakati raisi wa nchi hiyo akiwatunukia maaskari katika hafla ya maadhimisho hayo ambayo haikuwa mbali sana na eneo la tukio la milipuko hiyo.Hali hii inaashiria kwa kina ni jinsi gani nchi hii ya bara la Afrika iliyo jaaliwa utajiri mkubwa wa mafuta inavyoterezea kubaya kwa kushindwa kubadirisha hali duni ya maisha ya watu wengi.Kumekuwa na ubaguzi katika kutumia utajiri huo, viongozi wamekuwa wakijichumia nakusahau kuijenga jamii ambayo inajua wazi kinachoendelea kwenye UCHUMI wa nchi yao.Kama wa EAST AFRICA na hasa WATANZANIA tunajifunza nini juu ya hili?.Nilazima tukumbuke kwamba Nchi hujengwa na watu pia, nanukuu kamsemo toka kwa wenzetu kanasema "You can fool some people sometimes but you can fool all the all the time".Sasa Mtazamo wangu ni kwamba kwa import ubongo huku Ughaibuni tunaona na kujifunza mengi na hata watu wa pale nyumbani Tanzania pia.Viongozi tunapochaguliwa tufanye yaliyoagizwa na wananchi ambao wataijenga nchi kwa kutokana na faida ya RASILIMALI ambazo ni mali ya wote na si wachache..kama una lakuchangia basi wakilisha kwa ajili ya faida ya wasomaji. R.I.P for the people who died-hungaz
BONYEZA HAPA KWA HABARI KAMILI-BBC
No comments:
Post a Comment