11 November 2010

BIRTHDAY PARTY YA DADA LUCY READING UK

Siku ya jumapili mwana hungaz mmoja anayejulikana kwa jina la LUCY alinialika kwa birthday party ambayo ilifana sana pele vincent restaurant reading uk.pata habari katika picha hapo chini;

Lucy akiingia ukumbuni na kupokelewa na Mima na Amri

LUCY AKIMWAGA TABASAMU BAADA YA KUWA SUPRISED

ALIKATA KEKI KISHA WATU TUKAJING'ATA SI KITOTO

LEVIN,JOSEPH  MWITA(mzee wa makwaju) na ALBIN(kulia) wakiwakilisha
HUNGAZ NIKASHOW LOVE KWA DADA YANGU LUCY(birthday gal)
MARAFIKI zake walikuwa kibao hapa ni BARAKA(might B),HAPPY,IBRA na MIMA na Sister FLORA

AMRI AKIWA NA WANA MAKWAJU


ILIKUWA RAHA TUPU HAPA SISTA FAITH MDACHI AKIMUONYESHA KITU MAMA KALINGA

Kisha Braza BARAKA (Might B) akaona amalizie kwa Raha zote.
Picha  kwa hisani ya MAKWAJU entertainment. thax mwana

No comments: