26 November 2010

Dr. Dre - Kush ft. Snoop Dogg & Akon (FIRST SINGLE OFF DETOX) *NEW 2010*

Baada kimya cha muda mrefu Mtu mzima DR DRE  atoa single inayoitwa KUSH ambayo amewashirikisha wasanii kama Snoop Dog and Akon.Ngoma hiyo ambayo ni utangulizi wa album yake ya DETOX ambayo washabiki wake wameisubiri kwa muda mrefu sasa, pata radha ya ngoma hiyo hapo chini;

No comments: