4 November 2010

GRADUATION YA MDAU YAFANA NDANI YA VICENT PUB READING UK

Siku ya jumanne ya tarehe 02/11/11 kama sijakosea ilikuwa nomaaa,Mdau wa hungaz alinitonya kwamba itakuwa ni party yake ya kupata Shahada ya MASTERS katika maswala ya sheria jamaa ambaye rafiki yake Bwana Victor Rugumamu ni family friend wa familia yangu walinilazimisha kubaki Reading ili nishuhudie Raha hiyooo...duh nilijiachia ile maximum na walinipiga bia mpaka nikakata fyuzi.Kama unavyojua tena Ukiwa ndani Ya Vicent PUB READING oxford road(ugali nyama choma,samaki na utumbo wa nguvu na vinywaji)  lazima utoke na Raha ndani ya moyo wako .Jamaa walijiandaa vizuri na kuwakilishwa na wana MAKWAJU Entertainments ambao kama kawaida walituchapa" 12 tulipoingia na 12 tulipotoka tukawaonyeshe wake zetu".kifupi sina la zaidi nawapa uhondo wa picha muone wenyewe!!na  na mshukuru Mzee wa makwaju Bw JOSEPH MWITA kwa kunitumia picha na kuenjoy naye siku hiyo asante kwa wadau wote waliojitokeza kumsurpot BRO wetu.Wasiliana na hungazi kama utapenda shughuli yako kutambulishwa.Kibiashara na kifamilia bila kutoa hela yoyote habari kwa wa hungaz ni bureeeeeeeeeeeeeee nitumie habari kupitia email hii hungazblog@gmail.com na tuta wakilisha

MAKWAJU ENTERTINMENTS WAKIKAMUA
MZUKA WA KIKURYA ULIPANDA MARA BIA PWAAAA CHINI  MAKWAJU HAOOOO!!!
LEVIN,MAKWAJU,IYUNGA NA MASELA TULIRUKA NYOKA
KAKA VICTOR RUGUMAMU AKIOMBA NAFASI AKAMUE ALITUUNGA MKONO NA KUTUPA RAHA SANA

No comments: