17 December 2010

CHRISTMAS DINNER TOKA JUMUIYA YA WATANZANIA READING BERKSHIRE

Ndugu watanzania, napenda kuwakaribisha wote Katika X-mas & new years dinner iliyoandaliwa na Vincent Management, Bongo Flava, Bongo Deejays na Makwaju Entertainment kwa kushirikiana na uongozi wa T.A Reading pale New Vincent tarehe 19.12.2010 kuanzia saa kumi na mbili jioni.. tutakuwa na mashindano ya pool Kama kawaida. Na Mshindi atanyakua £100. Chakula ni bure.


Pia kwa wale wote watakaopenda kumuunga mkono na kumsupport Mtanzania mwenzetu, na dada yetu muimbaji mwenye kipaji kikubwa - Francia Chengula; aliyetoa album yake na DVD mnaweza kuja kununua siku hiyo, bei ni £7 kwa zote mbili au £5- CD na £3- DVD
DADA FRANCIA CHENGULA
"UJAMAA NA KUJITEGEMEA NDIO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU" MWALIMU J.K.N

KARIBUNI KARIBUNI NYOTE .

No comments: