2 December 2010

SIKU YA UKIMWI PALE HOME TZ ILIKUWA HIV HONGERA KWA WALIO HUSIKA NA TUENDELEE KUPAMBANA


DADA AGNES MANDWA AKIWAKILISHA KWA NYOKA NA KUONYESHA JINSI JANGA HILO LINAVYOTISHA

WADAU WALIWAKILISHA KINOMA
WALIO MAKINI WALIJOTOKEZA KUPIMA KAMDUDU WEWE VP? Usiogope bwana kapime
Taarifa na picha kwa hisani ya dada AGNES MANDWA

No comments: