18 February 2011

BAADA YA KUCHOSHWA NA MAUZEMBE PALE TZ MDAU KATOA HII SALA

TUOMBE:
 Eeh baba RAIS ulie Tufilisi, Jina lako Usanii Mtupu,utakalo lifanyike Bagamoyo, Utupe leo Mamilion yetu ya EPA. Uwapeleke Mafisadi mahakamani na Uwalipe Walimu na Wastaafu hela zao.. uwasamehe Wafungwa wote kama ulivyo msamehe Richmond na Utuepushe na Milipuko ya mabomu na Uongo na Usanii hata milele #AMEN

No comments: