Kwa wakazi wa Houston Texas pale USA siku ya taere 5/03/2011 watapata nafasi ya kuhudhuria tamasha hili ambalo lina madhumuni ya kuendeleza mapambano ya kukomesha mauaji na unyanyasaji wa Maalbino.Concert hili ambalo liko chini ya Babu Sikare aka ALBINO FULANI lita saidia kutoa nafasi kwa wale wote wanaohitaji kuchangia mapambano haya.Maalbino ambao wana ulemavu wa ngozi au skin disability wamekuwa wakikamatwa na kuuwawa kisha kukatwa baadhi ya viungo vyao pale Tanzania hasa kanda ya ziwa , kwa madai kwamba viungo vyao ni chanzo au dawa ya kujipatia utajiri.
Kwa wale wasiomfahau Babu Sikare au Albino fulani basi angalia video hii hapo chini:
|
No comments:
Post a Comment