4 April 2011

HAPPY BIRTHDAY BABY G

Weekend ya tarehe 2/4/2011  hungaz tulimtembelea dada yetu Baby G pale mitaa ya oxford kumtakia Birthday njema.Tulifurahi na kujichana ile mbaya.Hungaz ina mtakia dada yetu afya njema na baraka tele
BABY G

Baby G na mwanae Melanie Ngasahabu

Mh Elia Massawe akiwa na waubani wake Baby G

Hungaz na dada yangu Baby G

Hungaz na Melanie my niece

moja kati ya misosi iliyokuwepo

No comments: