Wana wa TMK wanaume wametutembelea mitaa ya reading oxford rd na kupata chakula katika restaurant ya Vincent ambayo inamilikiwa na watanzania.Vijana wamejipanga na wako tayari kwa makamuzi yao hapa mji wa kusoma siku ya tarehe 10/9.vijana waliambata na Wyre (mmoja wa wakilishi wa kundi la nessesary noice),....kwahiyo wana tukae mkao wa kula si mnajua mkono moja unapokuwa juuuuuuuu
No comments:
Post a Comment