12 March 2013

Ujumbe kwa Marafiki wa Facebook wa Mh Joseph Mbilinyi


MUHIMU KIASI: KWA KUWA ACCOUNT YANGU IKO FULL HUMU NA NINA MARAFIKI WENGI AMBAO HATA HATUWASILIANI TENA,KWA NIA NJEMA NATARAJIA KUFUTA BAADHI YA MARAFIKI WA FACEBOOK AMBAO HATUWASILIANI AU URAFIKI 'UMELALA' KWA MUDA MREFU...LENGO NI KUTOA NAFASI KWA MARAFIKI WENGINE WENGI WANAOHITAJI KUWASILIANA NAMI HUSUSANI WANA MBEYA WALIO MBALI NA MBEYA...SO IWAPO NITAKUFUTA KWA BAHATI MBAYA NA HUKU HUWA TUNAWASILINA BASI UTANIWIA RADHI NA TUTAFANYA UTARATIBU TUENDELEE KUWA MARAFIKI KWENYE TEKNOLOJIA HII MUHIMU KWA MAWASILIANO. ASANTENI SANA!--Ujumbe huu ambao ameutoa punde hivi leo ni kuweka sawa wananchi na jamii nzima juu ya ukarabati wa Uhusianano kati ya watu na hasa mkiwa karibu kimwelekeo na utendaji.Namuunga mkono kwa uamuzi huu na nadhani ni bora kuwa na marafiki wachache ila wazalishaji kuliko kuwa na wengi wasiojishirikisha .

No comments: