12 November 2013

Dr Sangodo-Mvungi afariki dunia. nchini Africa ya Kusini

Dr. Sengondo Mvungi afariki dunia. Kwa habari zaidi ya kifo chake bonyeza hapa

Vidokezo:
 Kutokana na taarifa toka kwa Blog ya Michuzi,Na uso wa kitabu wa Tanzania Nchi yetu(Dr. Sengondo Mvungi amefariki dunia alasiri ya leo huko Afrika kusini. James Mbatia amethibitisha).Marehemu alifaliki nchini Africa ya Kusini na mwili wake utasafirishwa kurudi Tanzania kwa maziko.Marehemu alisafirishwa kwenda bondeni kwa uchunguzi zaidi baada ya kusumbuliwa na majeraha yaliyotokana na kuvamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba.Kwa hali hiyo alilazwa hospitali ya Mifupa ijulikanayo kama MOI pale mjini Dar.Hali ilikuwa sinjema ndipo mwendo wa RSA ulipowadia kwa matibabu mbadala. Kwa watanzania wote tunaamini kuwa mwenzetu alikuwa ni mshiriki wa mbele katika kuendeleza mchakato wa mabadiliko ya siasa na hata uchumi wa nchi yetu.Mungu amlaze mahali pema peponi. AMINA

No comments: