30 January 2014

Mzee Yusufu wa miondoko ya mwambao kutumbuiza UK

"Habari ya mjini ndo hii. Mzee Yusuf, Mzee wa Jahazi, atakuja kuwapeleka na kuwapelekesha usiku wa Tarehe 8th February 2014. More info to come. Si yakukosa hii kaeni mkao wa vidole juu".Kwa mujibu wa taarifa nilizo zipata kwa kupitia mtandao wa facebook Sista Dida amefunguka kiufupi juu ya ujio huu.Kwa taarifa zaidi kaa mkao wa vidole juu kama alivyo sisitiza kwenye ujumbe wake hapo juu.
Katika picha mzee Yusufu akiwa na Dida Fashion ndani ya Dar mwezi huu.

No comments: