26 January 2014

Wakongwe wa mjini Reading wakipata Diner ndani ya COSMOS restaurant-Reading UK

Wakongweeeeee!!!!!..naona mnakandamiza....hapo ni nyama na veg na sea food tu kisha desert ...chips, piza na birian na pilau vitachafua tumbooo...mbele ni Bw Jose warioba na nyuma yake ni Mzee mzima Menchy Ngonyani.Nawatakia mlo mwema na kheri ya mwaka wa mafanikio

No comments: