![]() |
Ndugu Paul Mzindakaya kulia akiwa kwenye Kongamano la uwekezaji mwanza.. Na Mwenyekiti wa kongamano,mwanasiasa mkongwe na mwanadiplomasia Waziri wa maendeleo ya Ushirika baraza la kwanza la mawaziri 1961-Sir George Kahama, 84 yrs of age.. Inshallah kwa mapenzi ya mungu tutafika umri huo. Kwa hisani ya Ndugu P.Mzindakaya |
No comments:
Post a Comment