![]() |
Profesor Jay akiwa Msibani nyumbani kwa kina LadyJayDee ambaye amefiwa na dada yake aitwae Lucy tangu juzi na mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kwenda Mkoani MARA Kwa mazishi. ... pole sana JIDE, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema PEPONI. .AMEN!! |
No comments:
Post a Comment