6 February 2014

Unamkumbuka NOVA??

Mwana huyu tulikuwa nae hapa mji wa kusoma sasa yuko TZ na anaendeleza fani ya Filamu kwa kwenda mbele watu tuna badilika hebu pata picha hapo juu.Hungaz tunakutakia mafanikio na mungu akulinde.

No comments: