Tanzania UK Diaspora Task Force
Sunday, 30 March 2014 from 16:00 to 20:00 (BST)
Greater London, United Kingdom
Ubalozi wa Tanzania London, Uingereza unafuraha ya kuwatangazia Watanzania wote waishio Uingereza kuwa Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,atakutana na Watanzania siku ya Jumapili tarehe 30 Machi 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre Forty Avenue, Wembley Park, Greater London, Middx, HA9 9BE kuanzia saa 10 Jioni.
Katika Mkutano huo, Mhe. Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo kusikia masuala yanayogusa maslahi ya wanadiaspora.
Mhe. Rais atakuwa nchini Uingereza kuanzia tarehe 30 Machi hadi 2 Aprili 2014 kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko rasmi wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Mhe David
Cameron.
Ubalozi unapenda kuchukua fursa hii kuwaomba Watanzania wa maeneo ya Uingereza na nchi jirani kujitokeza kwa wingi kumkaribisha Rais Kikwete kwenye Mkutano huu adimu.
KUJIANDIKISHA NI LAZIMA.
Ahsanteni
Ubalozi wa Tanzania-London
The Tanzanian High Commission in the UK has the honour of announcing to all Tanzanians living in Europe an opportunity to meet with His Excellency, The President of the United Republic of Tanzania, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, on Sunday 30th March 2014 at 4pm at Sattavis Patida Centre, 40 Avenue, WembleyPark
, Greater London, Middlesex, HA9 9BE.
We are have been blessed with The Excellency’s guidance in building up our National reputation over the years, and we welcome this opportunity toreceive
an update on the current development of our country as well as to discuss the Diaspora.
His Excellency The President Dr Jakaya Mrisho Kikwete will arrive on the 30thMarch 2014 to 2nd April 2014 on an official state visit by invitation from the Prime Minister of the United Kingdom, Honourable David Cameron.
We hope you will undertake this exciting invitation to join us in welcoming His Excellency the President, Dr Jakaya Mrisho Kikwete to the UK.
Registration is Mandatory.
Thank You,
High Commission of Tanzania – London
Twitter: @tanzaniaukdiasp
Do you have questions about An Evening With the President: Rais Dr. Jakaya Kikwete?Contact Tanzania UK Diaspora Task Force
No comments:
Post a Comment