Leo ni siku ya MAMA hapa UK,Hungaz tuna watakia kheri wakina mama wote duniani kwa nafasi yao kubwa walionayo katika jamii na hasa kwenye familia zetu.Leo kwa heshima na taadhima ya marafiki zangu napenda kuwapa heshima hawa kina mama kama ifuatavyo:
2005 nikiwa na Mwanangu Taraya na Mama Mzazi. I love you Mama |
Brother Fred Makubi akiwa na mama yake mzazi Mwalimu Makubi,kwa walio soma mlimani Primary school wanamkumbuka |
Kushoto ni Rahma Classic akiwa na Mama yake kulia nawatakia maisha marefu kwani kuwa mama si mchezo |
Mama mzaa HUNGAZ mwenyewe |
Happy Mothers Day Mama yangu Kipenzi, My Best Friend, Mama Uliolea Wengi kwa Mapenzi ya Ukweli. Mungu akupe Maisha Marefu Kana Kanjale na Afya Njema. Lov uuuuu My Mum. |
No comments:
Post a Comment