26 March 2014

Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chalinze

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba,ikiwa ni muendelezo wa Kampeni zake.






Chanzo: Hamis Miraji Fbk pg.

No comments: