
Jamani eeeeeh hebu check hili kalenda linavyoitaaa duh yani hata kama wewe sio mlevi na ni mwanamme lijali basi mmh kidogo utastuka..wana wane sijui kama TANZANIA tunaruhusiwa kutoa tangazo la kibiashara kama hili...ok NEVER SAY NEVER kwasababu haikuwa hivyo kwa hip hop kwani mambo hubadilika na wakati pia. sasa subiri nakuja na matukio kibao juu ya MAPENZI kote duniani nina mtandao wa habari wa kutisha kaa tayari kwa mengi yajao wats up loverz.....TUPENDANE kwa sana wana wane