KWANZA NATOA PONGEZI ZA DHATI KWA MARAFIKI WANGU HAWA.KUONDOKANA NA UKAPERA SIOMCHEZO!!PONGEZI SANA NA MUNGU AWAZIDISHIE AMANI NA UPENDO NA AWAJAALIE FAMILIA ILIYO BORA.
Mariam aka Mama Mayor akiwakilisha na kama kawaida yake dada huyu Kabati lake analijua huwa akosei we mcheck dada yangu alivyo pendeza.

NA HIII VIDEO NI ZAWADI YAO MAHARUSI HAWA
![]() |
MR. & MRS. HANIF |
No comments:
Post a Comment