4 August 2010

LIL KIM KUKAMUA 2010 DAR FIESTA




HUYU NDIYE ATAKEWARUSHA PALE DAR ES SALAAM TZ KATIKA FIESTA LA MWAKA HUUU ANAITWA LIL WA KIM TOKA JUNIOR MAFIA NADHANI WATU WA FANI YA HIP HOP WANAMKUMBUKA.THAX KWA DJ CHOKA KWA KUTUPA TAARIFA HII...ukitaka taarifa zidi basi chungulia chini upande wa kulia kisha bofya na kupata ma NEWZ kibao toka kwa DJ CHOKA.

No comments: