24 October 2010

BRAZA HARLOD MASSAWE APATA JIKO

Hivi karibuni Bw. Harlod Massawe alifunga ndoa na Bi Aisha  pale dar es salaaam.Jamaa ni wa pale maskani ya Reading UK.HUNGAZ tunawatakia afya njema na maisha marefu sanaaaaaaa
BW. HARLOD MASSAWE NA BI AISHA

1 comment:

Anonymous said...

Nimeipenda hii couple na nawombea ndoa yao idumu na Mungu awatangulie katika kila kitu. Beautiful pictures