21 October 2010

MAMA BALOZI UK AKUTANA NA TAWA

Wakina mama wa kitanzania UK walipata mwaliko wa chakula cha mchana na fursa ya kufahamiana na mlezi wa chama chao cha TAWA Mama Balozi i.e. Mrs Joyce Kallaghe nyumbani kwake ambapo aliwakaribisha na kujitambulisha kwao na pia kuwapatia fursa kila mmoja wao kujitambulisha kitu ambacho wakina mama wote walikifurahia sana na wengi kushukuru kupewa nafasi hiyo maana ilikuwa ni mara ya kwanza kwao kufanya hivyo. Pamoja na hayo balozi mpya wa tanzania UK  Mh. Peter Kalaghe alipewa nafasi ya kujitambilisha na kuwakaribisha wakina mama hao nyumbani kwake. Naomba kuwakilisha picha za matukio mbali mbali ilikuweza kufaidisha ambao hawakuweza kufika. .Picha na habari kwa hisani ya Dada Justina George. http://www.missjestinageorge.blogspot.com/)

MAMA BALOZI
MHESHIMIWA BALOZI
Mariam Kilumanga (Mwenyekiti wa TAWA(Mama Balozi,Mariam Mungula(Katibu wa TAWA).





No comments: