29 October 2010

OFFICIAL URBAN TOUR TV AD

Sakata la maandalizi ya show ya diamond msanii wa kizazi kipya wa pale kwa bimkubwa TANZANIA yanaendelea kupanda ngazi.Urban Pulse kwa kushirikiana na MICHUZI blog wame hakiki kwamba atayekosa TOUR hii basi atakuwa amekosa uhongo mkubwa.Ni burudani na vita dhidi ya MALARIA ndio lengo kuu la show hiii.Tujumuike wana wa hungaz kwa kuwasurpot jamaa hawa na kuendeleza vita dhidi ya malaria.Hapo chini nawaletea tangazo maalumu kutoka kwa urban pulse liliandaliwa rasmi kwa ajili nya TV

No comments: