24 October 2010

TAHMINI YA MATONYA NA NONINI

Leo 24/10 tuko hoi baada ya uchovu wa kuwashudia mafahari wawili wa East Africa kukamua kinomaa jana. Hungaz nikiwa na mwana wane Bigz Ayub tulipita kushow love kwa bro wetu William Mwambenja aka Denja,tulistua mambo fulani fulani na kutambaaa hebu pata taswira hapo chini.
HUNGAZ NIKIWA NA BIGZ AYUB NA DENJA NDANI YA GHETO TUKISHOW LOVE!!!
BIGZ AYOUB NA MNYAMWEZI JOSEPH SHOWING SOME LOVE

No comments: