26 October 2010

Urban Tour Uso kwa Uso na wawakilishi wa Malaria Uk

Hungaz tumepata taarifa toka kwa Urba pulse juu ya maendeleo ya BONGE LA TOUR litakalofanyika hivi karibuni mitaa ya november sina mengi ya kusema ila pata taarifa kamili hapo chini kisha utajua wa gwan?????thax kwa wadau wangu wa UP




Frank (CEO wa Urban Pulse)Akiwa Na Miss Nubian Uk 2010 wakati wa kampeni

Nocha Kutoka Urban Pulse akila Pozi baada ya kazi ya ukweli pole sana ndugu yangu

Miss Africa S. Yorkshire Daniella Smith Akiwa na Might B (Managing Director)Kutoka Urab Pulse wakifanya interview

kikosi cha urban pulse kikiwa na spora pamoja na washiriki wa MISS Africa
South Yorkshire 2010 ambao pia ni wawkilishi wa Malaria.

No comments: