1 December 2010

DADA SPORA APATA NONDO YAKE

Mtangazaji na mwendeshaji wa kipindi maarufu cha SPORA SHOW kinachorushwa hewani na tv mbalimbali ikiwemo DSTV ya pale kwetu TZ, ametunukiwa shahada ya uongozi katika biashara za kimataifa(Degree in International Bussines Management),Degree hiyo ambayo inatolewa na chuo kikuu cha London Metropolitan hungaz tunaamini kwamba itampa msukumo na maarifa zaidi ya kuliendeleza libeneke la kusaidia jamii kwa kuifundisha jinsi ya kujiweka imara katika sekta ya biashara za kimataifa .Dada hongera sana na tunakutakia maendeleo mema.

DADA SPORA NJAU AKIWA NA NONDO YAKE
SPORA AKIPATA PONGEZI
WAKUU WAKIWA KATIKA HAFLA HIYO
SPORA NA WANANONDO WENZAKE WAKIFURAHIA

No comments: