18 January 2011

KUWA MTALII KTK NCHI YAKO KWA BEI POA


Waydaeli Josephat
 Hi,leo ninakuja hapa na swala 1 tu.Hivi mnajua kuwa nchi yetu ina vivutio vingi sana.Kama Mlima kilimanjaro,mbuga na wanyama na mengineyo ambayo yana2patiawatalii kutoka sehemu mbali mbali,ila jamani kwa nn na cc watz 2cwe watalii?kutokana na hilo Tanzanian group 2meandaa trip ya kwenda kuangalia mbuga ya wanyama ya Mikumi kwa sh 50,000 2 utaweza kwenda kutembeleambuga hizo.Karibuni sanaa.unaruhusiwa kuuliza maswali.

Trip hii itakuwa tarehe 26 na 27 mwezi 2/2011. kwa sh 50,000 utakuwa umelipia nauli ya kwenda na kurudi pamoja na sehemu ya kulala... kwa swala la chakula na vinywaji tumeona ni bora watu wajitegemee...tunategemea kukodi mabasi ya kutupeleka huko..
tiketi zimeanza kuuzwa na zina mwisho wake, ili tuweze kulipia mabasi mapema na kuwa na uhakika na kiasi cha watu watakaoenda...
karibuni sana na unaruhusiwa kumjulisha na mwingine.
kwa maelezo zaidi uliza nami ntakupatia..(.From..Tanzania group)

NB:Unaweza kumtumia ujumbe dada huyu kupitia mtandao huu pia email: hungazblog@gmail.com au toa maoni yako hapo chini kisha nitayawakilisha .

1 comment:

Anonymous said...

kweli kabisa dada umeongea la maana.Watu tuna zaliwa na kukulia hapa tz halafu hutujui wala kuviona vivutio vya mali asili ya nchi yetu..walahi mi ntakutafuta twende wote ila usinipige kibuti eeeeh???