29 March 2011

JOGOO - THE GINIUS PAINTING FROM THOBIAS MINZI

Thobias Minzi akiwa kapumzika ufukweni

dah simchezo..yani brother Thobias Minzi ni mkali sana , Hii  ni bora kuliko hata HD camera!!. "sasa hili jogoo ni la wapi mjini au shamba""? hahahaha ..jibu utalipata ukiwasiliana nae.Hii ni moja tu kati ya kazi za msanii huyu ambaye anakipaji cha pekee katika anga hizi za uchoraji pale Tanzania , bofya hapa kupata mawasiliano yake na kama unataka kujinunulia picha zake na hata kuchorwa au kumchora mpenzi wako .Safisana bro.

If you like this picture or you want to purchase one of this artist's works, then contact him on his Facebook  by clicking his name on above as in  (Thobias Minzi) OR by calling his mobile on: +255 655228804


No comments: