30 March 2011

URBAN PULSE PRODUCTION FOR VODKA


KASSU Ent ikishirikiana na URBAN PULSE CREATIVE wanakuleta fashion show for london iliyofanyika hivi karibuni London Hilton Hotel ikidhaminiwa na Kampuni ya kinywaji cha  VODKA. Show hii huandaliwa kwa ajili ya Fashion Designers wanao chipukia ama wanao- onekana kana kwamba wataenda mbali kwenye fani hiyo.
Asanteni


                                          URBAN PULSE CREATIVE

No comments: