25 March 2013

MWENYEKITI WA UVCCM NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WAZUIWA KUINGIA UKUMBINI KATA YA ELERAI WAKATI WAKIWA ZIARANI

Tarehe 22/03/13 kamati ya utekelezaji Arusha mjini wakiwa na mwenyekiti katika ziara ya kikazi walisitisha kuongea na viongozi wa UVCCM wa kata ya ELERAI hii ni baada ya kundi kubwa la vijana wanao jihusisha na usanii kuombakuongea na mwenyekit ili kumweleza shida zao 
Pichani anayeonekana ni mwenyekiti wao akiongea na mwenyekiti wa UVCCM wilaya." sisi kama vijana wa Arusha tumeonatutumie vipaji vyetu ili tuweze kujipatia ajira za kujiendeleza wenyewe kwani ajira zimekuwa ngumu sana ila tatizo limekuwa ni namna ya kuweza kurekod na kukodisha eneo la kufanyia mazoezi tunakuomba utusaidie mkuu maana tumedhamiria kujikwamua kimaisha na kuielimisha jamii yetu kupitia sanaa"
Vijana wasanii wakiwa wamekaa kwa huzuni huku wakisikiliza wakuu wakilonga juu ya dhamira yao
  MAJIBU YA MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA
KWA WASANII HAO

serikali ya CCM kwenye ilani yake ya uchaguzi
imeelekeza wazi kuwa itawasaidia vijana na
nijukumu kuwasaidia ila serikali ya CCM haiwezi
kuwasaidia vijana wasiyo na malengo maana
mtuasiye na malengo hajui anako elekea
nahitaji mniandikie maelezo ya malengo yenu
tupo tayari kuwasaidia na kuwaomba wadau
wawasaidie pia mtaiagiza serikali iwasaidie
nataka kuwasiliana naninyi TAR 6.4.2013
mtakuja rasmi kuongea na ninyi na kuweka
mipango sawa ili mweze kuendelea na mtamwomb
Raisi wa wasanii ARUSHA anisindikize siku hiyo
ili awafahamu na kikundi chenu kisajiliwe
asante kunisikiza
BAADA YA MAELEZO HAYO YA MWENYEKITI
WALIANZA KUIMBA CCM CCM CCM JUU !!!!

picha na habari na aafisa habari wilaya
UVCCM Arusha mjini Said A said

No comments: