UMETANGULIA KIMWILI LAKINI SERA ZAKO NA MISIMAMO YAKO YA HAKI BADO INAISHI Ulipenda sana kuwa tetea wanyonge kama sera ya chama ilivyokuwa inasema mpaka sasa tunaendelea kuwatetea kikamilifu bila kusita na kumwogopa yeyote Demokrasia imekuwa nchini tumeanzisha mfumo wa vyama vyingi lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kukitetemesha chama chako kwani bado kinafuta sera ulizoziasisi wewe na mwalimu za kuwatetea wenye shida na kupambana na wahujumu uchumi sikuhizi wanaitwa MAFISADI
Ndugu
Edward Moringe Sokoine (01/08/1938-12/04/1984) alikuwa Waziri Mkuu wa
aina yake nchini Tanzania. Aliongoza katika kipindi ambacho nchi ilikuwa
katika hali ngumu sana ya kiuchumi. Leo ni miaka 29 toka Taifa
limpoteze shujaa huyu. Katika kuenzi fikra zake ambazo bado zinahitajika
sana leo,
|
No comments:
Post a Comment