8 April 2013

KESHO BUNGE LA BAJETI LINA ANZA RASMI PALE DODOMA

Jengo la Bunge Dodoma
 Kwa wale ambao majimbo yao ya wabunge wanaojua wajibuwao wamejipanga kupeleka hoja kule bungeni .Mdau mmoja amelonga hivi "Yeye yupo jimbo la ARUSHA hajawahi
kusijia hata siku moja mbunge wao kuwaita wananchi kwenye mkutano wa wananchi
kwenye kata ili wampe yakwenda kuyasema bungeni.Mdau anaongeza kwa kusema na kuuliza" mbunge wake Mh LEMA huenda bungeni kusema matatizo ya familia yake au ya wakazi wa ARUSHA????.Mdau huyu anayejulikana kwa jina la
Martin Munisi wa pale Arusha anawatakia wabunge na serikali kikao chema na bajeti ilenge kumsaidia mwananchi wa kawaida kwani
ndiyo malengo ya serikali ya CCM hongereni wenye majimbo ambayo wabunge wenu wanatambua wajibu wao sisi Arusha HATUNA MWAKILISHI maana hajawahi kutuita tumweleze yanayo  tukabili na hata ukienda kwenye ofisi yake huwa imefungwa muda wote".Ningependa kupata ukweli wa mada hii na kama kweli basi muhusika atapewa taarifa ili ajiweke sawa kwa kuwatumikia waliompa nafasi na sio kujitumikia mwenyewe.

No comments: