8 April 2013

BARONESS MARGRET THATCHER AFARIKI DUNIA LEO


Margret Thatcher 1925-2013
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Margret Thatcher amefariki dunia leo baada ya kupatwa na mstuko ambao ulisababisha kifo chake.Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya hapa UK mama huyo aliyejulikana kama "Iron Lady" amefariki kwa amani akiwa hotelini.,Alikuwa mdhaifu na kuugua kwa muda mrefu.Lady Thatcher alipata uongozi mwaka 1979 na kuibadilisha Britain kiuchumi chini ya chama chake cha Conservative kina choongozwa na Waziri mkuu wa sasa Bw David Cameroon.

Margaret Hilda Thatcher, Baroness Thatcher, LG, OM, PC, FRS, née Roberts is a British politician, the longest-serving Prime Minister of the United Kingdom of the 20th century, and the only woman ever to have held the post.

Born: October 13, 1925
Full name: Margaret Hilda Roberts
Nicknames: Thatcher, the Milk Snatcher, Maggie, Attilla the Hen, Iron Lady
Awards: Presidential Medal of Freedom

                                                        BIOGRAPHY IN VIDEO:

No comments: