Showing posts with label Msiba. Show all posts
Showing posts with label Msiba. Show all posts
5 February 2011
TANZIA READING UK
Tunasikitika kutangaza msiba wa mama yake Mtanzania Mwenzetu Anitha Malewo uliotokea jana usiku Tanzania. Tunaomba kumfariji mfiwa kama ilivyo desturi yetu. Msiba utakuwa 21 Don close, tilehurst, Reading, RG30 4YL.Nyumbani kwa pastor Noel, tafadhali mtaarifu na mwenzio.
30 January 2011
KARIBUNI NYOTE KWENYE IBADA YA KUWAFARIJI WAFIWA
FAMILIA YA MUBARUKU MZEE WA READING INACHUKUA FURSA YA KUWAKARIBISHA WATANZANIA POPOTE PALE LEO JIONI KUANZIA SAA KUMI NA MOJA NA NUSU ,KWENYE IBADA FUPI YA KUWAFARIJI NA KUWATIA MOYO WAFIWA ,MUBARUKU MZAZI WAKE MAUTI ILIMKUTA SIKU YA IJUMAA, HUDUMA YA IBADA ITAFANYWA KWENYE ADDRESS IFUATAYO
ADDRESS: 2 Appleshaw Court , School Rd ,READING. RG31 5AL
TEL: +44 7799435327 - UK
Ujumbe umeletwa kwa hisani ya:
Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
Blog :http://www.tareading.blogspot.com/
Email:tzra2009@gmail.com
Tel No: +447865673756
CCM Branch -Reading ,
Berkshire .
United Kingdom.
28 January 2011
POLE KAKA AGREY URIO KWA KUFIWA NA NDUGU YAKO
TANZIA READING UK
Familia ya Aggrey Urio wa Reading-United Kingdom, anasikitika kuwatangazia msiba wa Mdogo wake kilichotokea tarehe 25/01/2011 -Tanzania.
Marehemu ni mdogo : Aggrey Urio mkazi wa Reading UK
Habari za msiba huu ziwafikie watanzania wote waishio Readinge na sehemu zingine za UK na ndugu wote, jamaa na marafiki popote walipo.Mfiwa anatakiwa kusafiri na kama ilivyo desturi yetu ,basi fikisha mchango wako ili aweze kusafiri
TEL: 07853110307; 07760404352
ADDRESS: 19 BARNWOOD CLOSE ,READING. RG30 1BY
Director Of Communication
CCM Branch -Reading ,
Berkshire .
United Kingdom
Wana hungaz tulijumuika kwenda kumpa pole kaka yetu Agrey Urio mitaa ya Reading UK kwa kuondokewa na kaka yake wa familia.mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ...Amina

![]() |
| Hungaz nikiwa na bro wangu Agrey Urio siku ya kumpa pole |
![]() |
| Hungaz nikiwa na masela eneo la tukio |
![]() |
| Hungaz ,chairman na denja ndani ya bongo shop |
![]() |
| Hungaz tukitoa pole kwa bro wetu Agrey wa kwanza kushoto |
Subscribe to:
Posts (Atom)