1 April 2013

MGODI WAUA ARUSHA

AJALI MBAYA IMETOKEA WILAYA YA ARUSHA MJINI KATA YA MOSHONO KWENYE MACHIMBO YA MORAMPAKA SASA WATU KUMI WANASADIKIKA KUFARIKI SHUGHULI ZA UOKOAJI ZANAENDELEA KIKOSI CHA JESHI JWT 977 TANGANYIKA PEKAZI NA MAKAMPUNI YA WATU BINAFUSI WANAENDELA NA UOKOAJI
Kamanda G.Lema akiwajibika katika ajali ya kufukiwa kwa watu katika kifusi huko Moshono



 Masikitiko na majonzi ktk jiji la Arusha inasadikiwa watu.Wapatao kumi na tano (15)wamefukiwa na mgodi wa Moramu Pekas,bado jeshi la kujenga Taifa wanaendelea na huokoaji wa miili ya Marehemu .
Taarifa toka (Tanzania nchi yetu sote)

No comments: