7 February 2014

Mkulima wetu leo



Jamaa anaitwa Steven Balele tulikuwa nae hapa mjini Kusoma UK nakuamua kurudi nyumbani  kwa sasa anendeleza shughuli zake za kilimo pale nyumbani  Tanzania ,Kila la kheri kaka,usisahau kunichomea moja yakiwa tayari.

No comments: