![]() |
| Ndugu Paul Mzindakaya kulia akiwa kwenye Kongamano la uwekezaji mwanza.. Na Mwenyekiti wa kongamano,mwanasiasa mkongwe na mwanadiplomasia Waziri wa maendeleo ya Ushirika baraza la kwanza la mawaziri 1961-Sir George Kahama, 84 yrs of age.. Inshallah kwa mapenzi ya mungu tutafika umri huo. Kwa hisani ya Ndugu P.Mzindakaya |
Showing posts with label POLITCS. Show all posts
Showing posts with label POLITCS. Show all posts
15 February 2014
George Kahama na PaulMzindakaya ndani ya kongamano
9 February 2014
Matokeo ya uchaguzi wa kata Tannzania leo
![]() |
| Vijana ndio jeshi la chama uvccm mkoa wa iringa tukijiaandaa kushangilia ishindi...ahsanteni wana iringa kwakukiamini ccm ama hakika hatutoi lift kwenye gari kubwa ccm....kata 3=0 Katibu UV M Iringa andRamadhani Baraza |
Matokeo ya uchaguzi wa kata Tannzania leo
- Kwa mujibu wa taarifa fupi tulizozipata hivi sasa za uchaguzi wa kata unaofanyika pale nyumbani TZ zinasemaa:
- Chama cha CHADEMA kimeshinda Kata ya Partimbo na Loolera za Kiteto mkoani Tanga,
- CCM YASHINDA UBAGWE: Hamisi Majogoro wa Kata ya Ubagwe wilayani Kahama ameshinda udiwani kwa kura 323, Adam Ngoma wa Chadema kura 219
- CCM imechukua Kata ya Kiomoni Mkoani Tanga
- CCM imeshinda kata ya Nduli Iringa mjini. Mh. MsigwaPeter aliwekwa ndani polisi kwa masaa matatu wakati uchaguzi unaendelea.
- Godbless Lema wa Chadema apigwa na kuumizwa vibaya na polisi Arusha
- CCM wamechukua Ludewa
- CHADEMA wameshinda Kiboroloni
- CHADEMA wameshinda Kiteto. Hii ilikuwa kata ya CCM
- Kutoka Ukumbi, Kilolo:
Vituo vyote vya kupigia kura vimeshafungwa. Shughuli ya kuhesbau kura inaendelea. Kamanda Nyalusi anasema hali iko shwari hadi muda huu. Polisi wamemuachia mgombea wa CHADEMA, mpiganaji Oscar Ndale, lakini wameendelea kuwashikilia makamanda kadhaa, akiwemo Kamanda Mwambigija (Mzee wa Upako) pamoja na gari la M4C.
Matumaini ya ushindi hapa ni makubwa. Baada ya gari kukamatwa. Vijana wa bodaboda wamejitolea kwenda kuziba nafasi hiyo na kujitoa kufanya kazi kuhakikisha mapambano ya kumpata kiongozi wao hayakwami.
Kurugenzi Ya Habari CHADEMA
28 February 2013
"The true leaders"
Let me take a little tour in politics world of "The true leaders" to find out the truth from the ones who called themselves leaders.As human being who was born to think and use my knowledge to understand and control my life from what i see in my environment??? it will always take what i see as a challenge and success in my life with competence system but not what i hear from people of my back ground to make my judgement about the life i am living.Dig this if you understand ,then think about yourself and your MP...Bofya Read more chini kushoto kwa habari zaidi..
15 January 2013
MAMA KIKWETE NA SHERRY PARTY 2013
| Mama Kikwete wa sita toka kulia akiwa na wake wa mabalozi katika sherehe ya Sherry Party 2013 iliyofanyika leo jioni pale ikulu Dar es alaam-(Picha toka Michuzi) |
Alisema:
![]() |
| Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wananchi katika moja ya kampeni zake za afya kwa jamii |
NAWATAKIA HERI NA FANAKA YA MWAKA MPYA WA 2013,UWE MWAKA WA MUENDELEZO WA MAHUSIANO MAZURI KATI YA NCHI YETU NA NCHI MARAFIKI KATIKA MAENDELEO.
HAPPY SHERRY PARTY 2013."
![]() |
| Mama Salma akiwa na Mumewe Mh Rais Jakaya Kikwete |
" Mwanadamu yeyote hufarijika pale wenzake wanapompongeza kwa jambo lolote analolifanya,hususan lenye manufaa kwa jamii inayomzunguka. Leo nimepata faraja kubwa sana moyoni mwangu kwa namna ambavyo wenzetu wanaowakilisha nchi zao hapa kwetu Tanzania walivyoonesha kutambua Mchango mkubwa wa Taasisi ninayoiongoza ya WAMA,nimepata faraja pia kwa namna wananchi wenzangu wanaothamini kazi hizi tunazozifanya wanavyotoa maoni yao kwa njia mbalimbali ikiwemo hii ya Facebook.
WAMA ITANENDELEA KUWEPO KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZAO ZA KISIASA,DINI,RANGI WALA KABILA."
MTOTO WA MWENZIO NI MWANAO,MKINGE NA UKIMWI.
23 May 2011
MH WAZIRI MKUU AONGEA NA URBAN PULSE
URBAN PULSE CREATIVE Ilipata fursa ya kufanya mahojiano maalum na MH Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokuja katika Ziara yake hapa nchini Uingereza siku chache zilizopita. Mahojiano hayo maalum yalilenga zaidi kuelemisha jamii yetu ya kitanzania, vile vile kutoa Msimamo kutoka katika serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na mambo mbalimbali yanayomhusu Mtanzania .
Mahojiano hayo yaligusa maeneo tofauti yakiwepo majukumu pamoja na changamoto anazokumbana nazo Mh waziri mkuu, Suala la katiba, Uchumi, Rushwa na Ufisadi, Miundo Mbinu, Maendeleo, Chakula, Nishati, Jumuiya ya Africa mashariki pamoja na mambo mengine mengi.
Mahojiano yalifanywa na Baraka Baraka Kutoka URBAN PULSE CREATIVE MEDIA na yatarushwa hewani mda sio mrefu.
MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
![]() |
| MH WAZIRI MKUU akijibu maswali kutoka kwa Baraka Baraka |
![]() |
| MH WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA Akitoa ufafanuzi wa maswali wakati wa mahojiano |
5 April 2011
TAARIFA MAALUM JUU YA MABADILIKO YA ZIARA YA MH BALOZI KALLAGE -TA
![]() |
| MH BALOZI PETER KALLAGE |
JUMUIYA YA WATANZANIA-TANZ-UK ikishirikiana na TA Reading Inapenda kuwakumbushia tena watanzania wote waishio Reading, Slough, Oxford na vitongoji vingine, Kuwa Ziara ya Balozi wetu MH Peter Kallaghe akiambatana na Mama Kallaghe Itaanza rasmi siku ya Ijumaa jioni tarehe 8/4/11 na kuendelea Tarehe 9/4/11 Jumamosi ambapo Mh. Balozi Kallaghe atakutana na Jumuiya mbali mbali za Ki-Tanzania, pamoja na kutembelea miradi na Taasisi mbali mbali za KiTanzania.
Wakati Huo huo Mama Kallaghe atajumuika na na akina mama wote Jumamosi kuanzia saa nane Mchana. Kisha Mh Balozi na Mama Balozi watahudhuria hafla kubwa iliyoandaliwa na Wanajumuiya kwa ajili ya kuwakaribisha kuanzia saa kumi na mbili jioni. Bongo DJs watakuwepo wakifanya makamuzi mpaka usiku wa manane. Jumapili 10/4/11 kutakuwa na ibada ya Kiswahili itakayohitimisha Ziara hii ya kipekee.
Kutokana na muitiko mkubwa pamoja na ushirikiano wa hali ya juu kutoka kwa wanajumuia imelazimu kubadilisha ukumbi ili kufanikisha zaidi ziara hii. Anuani ya Ukumbi Rasmi itakuwa WYCLIFFE 233 KINGS ROAD, READING RG1 4LS. Tunawaomba Radhi wote kwa usumbufu uliotokana na mabadiliko hayo muhimu. Tafadhali mjulishe mwenzako na tuzingatie mda.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu ziara hii tafadhali wasiliana na wafuatao: Ndg. Hussein 07865673756, Ngd. Upete 07796122127, Mama Maria 07919874182.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
TANZ- UK / TA READING
27 February 2011
MTIKILA AKIONGEA JUU YA TASWIRA YA MUUNGANO NA SIASA YA TANZANIA
11 February 2011
Hosni Mubarak Steps down
![]() |
| Hosni Mubarak |
A look back at the life and times of the Egyptian president
Overview
Born on May 4, 1928, in the village of Kafr el-Moseilha, Mubarak opted for a military career. Trained as a fighter pilot, he climbed the ranks of the Egyptian Air Force and became Air Chief Marshall after the 1973 Yom Kippur War with Israel.
In 1975, Egyptian President Anwar Sadat picked Mubarak as his vice-president. He assumed the presidency in 1981, after Islamic militants assassinated Sadat during a military parade. Mubarak ruled Egypt for nearly 30 years, until his resignation on Feb. 11, 2011, after an 18-day wave of pro-democracy demonstrations by hundreds of thousands of Egyptians who demanded his removal.
Political legacy
Arguably Sadat’s single greatest foreign-policy achievement was making peace with Israel in 1979, and Mubarak continued the stewardship of that agreement for three decades. As a result, Mubarak enjoyed the political and financial support of the United States, which continued to ply Egypt with aid (in 2010, the U.S. gave the country $1.3 billion in military funding alone). Although Mubarak was seen as a valued interlocutor between the two sides of the Arab-Israeli conflict, he was unable to facilitate any lasting solutions.
On the domestic front, Mubarak will be remembered for maintaining law and order at all costs. Calls for democratic reform were repeatedly stifled, and the political ambitions of the opposition Muslim Brotherhood were thwarted through intimidation, persecution and torture. Violence between police and Islamist groups was a hallmark of Mubarak’s reign, as was a perpetual state of emergency.
Due to large-scale privatization, Egypt’s upper classes prospered tremendously during Mubarak’s tenure, while the general population grew bigger and poorer.
Personal wealth
Many protesters have cited political repression as the cause of the recent uprising, but there have also been sustained accusations of corruption. Some sources claim the president and his two sons, Alaa and Gamal, have accumulated between $15 and $30 billion in wealth — and possibly more. Many claim that Mubarak has been enriching himself since he was in the army.
This situation has to be an example for our Tanzanian leaders in relation to human rights and civil awareness, the leaders have to understand that.."""you can fool some people sometime but you cant fool all the people all the time"""" and always will be """"POWER TO THE PEOPLE""""""" be inspired!!!!
9 February 2011
SCAM YA UCHAGUZI BUNGENI: LYATONGA AMRITHI DK SLAA, ZITTO, SERUKAMBA, JANUARI NAO WAULA
Siku ya tarehe 8/02/11 WABUNGE waliwachagua wenyeviti wa kamati 16 za Bunge zilizotangazwa jumatatu 7/02/11 usiku na Spika wa Bunge, Anne Makinda, huku waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa akichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Pata undani zaidi bofya hapa
11 January 2011
Pinda amkomalia Mwema sakata la Arusha
![]() |
| MH PINDA WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea Arusha kutokana na mvutano wa kisiasa baina ya CCM na Chadema kuhusu suala la Meya wa Jiji la Arusha akitaka kuwapo suluhisho la kudumu baina ya pande mbili hizo. .....soma zaidi hapa |
Subscribe to:
Posts (Atom)










