6 October 2010

BIASHARA YA MUZIKI NCHINI TANZANIA

TUFANYE NINI KUUFANYA MUZIKI UWE BIASHARA YA FAIDA TANZANIA.

Kipande cha video hapo chini ni kutoka katika Filamu ya "MWAMBA NGOMA" Kinatupa mtazamo wa wanasanaa juu ya maendeleo ya muziki pale nyumbani Tanzania,Sasa jamani sisi wa ughaibuni tunaweza kusaidiaje kuendeleza na kuimarisha biashara ya muziki yenye faida kwa wahusika.Pata habari hii hapo chini

No comments: