10 October 2010

HAPPY BIRTHDAY KAKA MWAMBENJA


WILLIAM MWAMBENJA
Leo tarehe 10/10/2010 ni siku ya kuzaliwa ya bro wangu mwambenja.Nimepitia pande hizi za Reading duh yan raha tupu, jamaaa amezaliwa siku moja na mama yangu mzazi na mshikaji wangu LEVIN mungu awazidishie maisha marefu na afya njemaa.HUNGAZ ina wapenda sana.Angalia picha za matukio hapo chini
HUNGAZ NIKIWA NA MWAMBENJA KUSHOTO
HUNGAZ NA JAY J MWAMBENJAZ COUSIN
MWAMBENJA AKIWA NA MASELA

No comments: